SwahiliTek
banner
teknolojia.bsky.social
SwahiliTek
@teknolojia.bsky.social
🆕 Samsung imeanza kuonyesha trailer ya simu yake mpya ya Galaxy Fold7 Ultra.

Itakuwa ni nyembamba zaidi na kamera yake itakuwa ni kubwa.

Simu hii itatoka pamoja na simu ya Galaxy Z Fold 7 na Z Flip 7 mwanzo wa mwezi July.
June 5, 2025 at 7:53 AM