SwahiliTek
banner
teknolojia.bsky.social
SwahiliTek
@teknolojia.bsky.social
Leo kuanzia Usiku, Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 26 baada ya kutambulisha simu mpya za iPhone 17.

𝗶𝗣𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗹𝗲𝗼 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘄𝗮𝗸𝗲 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗺𝗳𝘂𝗺𝗼 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝘄𝗮 𝗶𝗢𝗦 𝗻𝗶:

🔴 𝗶𝗣𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗫𝗥
🔴 𝗶𝗣𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗫𝗦
🔴 𝗶𝗣𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗫𝗦 𝗠𝗮𝘅
September 9, 2025 at 4:32 PM
🆕 Samsung imeanza kutoa mfumo mpya wa One UI 8 beta 4 kwa watumiaji wa simu zote za Galaxy S25
July 30, 2025 at 10:14 AM
🆕 Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 26 Beta 4 kwa Developers wote.
July 22, 2025 at 7:20 PM
🎮🖥️💻 CYBERPUNK 2077 imeanza kupatikana kwenye kompyuta zote za Mac - bei yake imeanza kwa gharama ya 179,900
July 22, 2025 at 2:56 PM
🆕 Update ya beta ya One UI 8 Watch imeanza kutoka rasmi! 🚀
#OneUI8Watch #Beta
June 30, 2025 at 1:46 PM
🆕 Tetesi mpya zinaonyesha simu mpya ya Samsung Galaxy Z Fold 7 itakuwa nyembamba sana – 8.9 mm ukiifunga na 4.2 mm ukiifungua!

Ni nyembamba zaidi, uzito utapungua kidogo, itakuwa na skrini kubwa zaidi na mfumo wa kamera wenye nguvu.
June 30, 2025 at 9:04 AM
🆕 Apple imetoa mifumo mipya ya iOS 26, iPadOS 26, na macOS Tahoe kwa developers wote

Imeweka mabadiliko makubwa zaidi ya 100, yakiwemo muundo mpya wa
- Liquid Glass,
- Menu bar mpya,
- Uboreshaji wa apps,
- Mwonekano mpya wa Spotlight kwenye Mac. 🍎
June 14, 2025 at 3:16 PM
🆕 Samsung imeanza kuonyesha trailer ya simu yake mpya ya Galaxy Fold7 Ultra.

Itakuwa ni nyembamba zaidi na kamera yake itakuwa ni kubwa.

Simu hii itatoka pamoja na simu ya Galaxy Z Fold 7 na Z Flip 7 mwanzo wa mwezi July.
June 5, 2025 at 7:53 AM
🆕 Mfumo mpya wa mwaka huu wa VisionPro; utaanza kuwa na uwezo wa kukubali support ya kuunganisha controllers za PlayStation, Xbox na Spatial controllers
June 4, 2025 at 1:47 PM
🆕 Browser mpya ya Opera Neon ina uwezo wa kufanya coding za kutengeneza Website (tovuti) na Games
May 28, 2025 at 12:14 PM
Apple Watch ⌚️
May 11, 2025 at 7:53 AM
⚠️ Control Panel ya OnePlus inafanana kabisa na iOS
May 4, 2025 at 3:55 PM
🆕 💻 Teaser mpya ya laptop za Microsoft Surface
May 2, 2025 at 1:46 PM
🆕 Apple TV inalenga kuonyesha contents za platforms mbalimbali ili kushindana na Netflix na kuvutia watumiaji
April 30, 2025 at 1:46 PM
🆕 YouTube imeanza kujaribio ya mwonekano mpya wa Video Player yake ya video kwenye website. Hii ni mara ya kwanza kubadilisha mwonekano wa Video Player yake baada ya takriban miaka kumi.

Vitufe vya Play/Pause, Next, na sehemu za video (chapters) zitakuwa na umbo la kona za duara
April 28, 2025 at 1:14 PM
🆕 YouTube itaweka mfumo wa summary ya kutumia AI katika sehemu ya search

Kama mfumo wa AI Overview unavyofanya kazi katika mtandao wa Google
April 25, 2025 at 11:03 AM
🆕 Mfano wa size na muundo wa iPhone 17 za mwaka huu.

iPhone Air itakuwa ni nyembamba zaidi
April 24, 2025 at 4:19 PM
• 𝗣𝗶𝘅𝗲𝗹 9, 8, 7, 6, Fold, Tablet
• 𝗛𝗢𝗡𝗢𝗥 – Magic 7 Pro
• 𝗟𝗲𝗻𝗼𝘃𝗼 – YOGA Tab Plus
• 𝗢𝗻𝗲𝗣𝗹𝘂𝘀 – OnePlus 13
• 𝗢𝗣𝗣𝗢 – Find X8
• 𝗿𝗲𝗮𝗹𝗺𝗲 – GT 7 Pro
• 𝘃𝗶𝘃𝗼 & 𝗶𝗤𝗢𝗢 – X200 Pro, iQOO 13
• 𝗫𝗶𝗮𝗼𝗺𝗶 & 𝗥𝗲𝗱𝗺𝗶 – 14T Pro, 15, K70 Ultra
April 18, 2025 at 1:54 PM
🆕 WhatsApp imeanza kuruhusu watumiaji kuweka video yenye urefu wa zaidi ya Dakika 1 kwenye WhatsApp Status.

WhatsApp imeanza majaribio ya kuweka video ambazo zitakuwa na urefu wa sekunde 90 (Dakika 1 na sekunde 30) katika sehemu ya WhatsApp Status.
April 16, 2025 at 1:12 PM
📐 Ukubwa wa sensor za kamera za iPhone, zikilinganishwa na sensor ya Sony
April 14, 2025 at 1:46 PM
🔥 Hii ilikuwa ni design kali sana ya iPhone
April 11, 2025 at 1:46 PM
🆕 Bluesky imepata pesa nyingi kwa kuuza fulana za kejeli kuhusu Mark Zuckerberg kwa siku moja kuliko ilivyopata kwa miaka miwili ya kuuza domains.

Inaonekana watumiaji wengi wa Bluesky ni wale wasiopenda mitandao ya Mark na Elon.
March 31, 2025 at 7:53 AM
🆕 Downloads za LibreOffice zimeongezeka kwa speed baada ya subscription za Microsoft Office kuongezeka.

Libre Office ni mbadala wa Microsoft Office, ni bure, salama zaidi na open-source, imepata ongezeko la watumiaji milioni 1 kwa kila wiki.
March 30, 2025 at 3:33 PM
🆕 Akili bandia ya Grok imeweka sehemu ya ku-edit picha ✍️
March 22, 2025 at 1:46 PM
🚨 Bado kuna ongezeko kubwa la watu ambao wanachoma magari ya Tesla nchini Marekani
March 22, 2025 at 12:50 PM