TRT Afrika Swahili
banner
sw.trtafrika.com
TRT Afrika Swahili
@sw.trtafrika.com
Afrika kama ilivyo
Kila baada ya miaka miwili jamii ya Wamaasai hufanya Michezo ya Olimpiki ya Wamaasai kusherehekea urithi wao wa kitamaduni. Mashindano haya yanatoa fursa kwa wapiganaji wa Kimaasai kuelekeza uwezo wao katika kuongeza ufahamu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi maliasili hasa wanyama.
December 18, 2024 at 9:42 AM