Change Tanzania
banner
changetanzania.bsky.social
Change Tanzania
@changetanzania.bsky.social
This is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337
-- Lissu amewataka mawakili wa serikali kutoa nyaraka wanapojibu amri za mahakama na sio kuja na maneno tu wakati mahakama ilitoa amri na ilitakiwa kujibiwa hiyo amri kwanza na sio wakili kufika na kukimbilia kusema kesi imehairishwa
June 16, 2025 at 9:34 AM
-- Kuanzia sasa Lissu atakuwa akijiwakilisha yeye mwenyewe mahakamani mawakili wake 30 amewaondoa mpaka atakapoona vinginevyo
June 16, 2025 at 9:33 AM
-- Serikali imesema upelelezi umekamilika, kwa sasa jalada liko kwa DPP, ila itachukua DPP wiki mbili kusoma Jalada na kumaliza kisha kutoa maamuzi kama wanaendelea na kesi mahakama kuu au hapana hii ni baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi 15
June 16, 2025 at 9:32 AM
--Hakimu amepuuza maombi ya mawakili wa Lissu kuhusu hali yake magereza, haki nyingi zinavunjwa na haki anajibu hana nguvu ya kuingilia shughuli za magereza, kisheria Mahakama ndiye yenye amri na dhamana ya mahabusu wote, na hakimu anawajibu wa kutembelea magereza kujua mazingira na hali ya wafungwa
June 16, 2025 at 9:32 AM
3/

-- Lissu amekosa haki ya kuonana na mawakili wake, kila anayeonana na Lissu lazima kuwe na askari anasikiliza, hivyo ameshindwa kufanya kazi na mawakili wake sababu hakuna faragha, kuanzia sasa atajaribu kujiwakilisha sababu mawakili wanadhibitiwa na Bwana Jela
June 16, 2025 at 9:31 AM
2/
-- Lissu amekosa sehemu ya kufanya mazoezi, anapita sehemu ya maji machafu yenye utelezi ambayo anaweza kuanguaka kutokana na mguu wake mmoja kuwa Mbovu
June 16, 2025 at 9:30 AM
Reposted by Change Tanzania
Congressman Scott Perry argues that "the government and political system of Somaliland already operates independently of Mogadishu, the unstable, conflict-ridden and fractured capitol city of Somalia."
June 13, 2025 at 7:49 PM