Change Tanzania
banner
changetanzania.bsky.social
Change Tanzania
@changetanzania.bsky.social
This is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337
Mambo mabaya kama haya yanafanywa na walinzi wa usalama, tunawezaje kuwa salama kwa mazingira kama haya
December 3, 2025 at 6:22 PM
Kuna umuhimu gani kwa Askari magereza kufanya mambo kama mahakamani kwenye kesi ya Lissu. ?
June 16, 2025 at 9:35 AM
-- Lissu amewataka mawakili wa serikali kutoa nyaraka wanapojibu amri za mahakama na sio kuja na maneno tu wakati mahakama ilitoa amri na ilitakiwa kujibiwa hiyo amri kwanza na sio wakili kufika na kukimbilia kusema kesi imehairishwa
June 16, 2025 at 9:34 AM
-- Kuanzia sasa Lissu atakuwa akijiwakilisha yeye mwenyewe mahakamani mawakili wake 30 amewaondoa mpaka atakapoona vinginevyo
June 16, 2025 at 9:33 AM
-- Serikali imesema upelelezi umekamilika, kwa sasa jalada liko kwa DPP, ila itachukua DPP wiki mbili kusoma Jalada na kumaliza kisha kutoa maamuzi kama wanaendelea na kesi mahakama kuu au hapana hii ni baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi 15
June 16, 2025 at 9:32 AM
--Hakimu amepuuza maombi ya mawakili wa Lissu kuhusu hali yake magereza, haki nyingi zinavunjwa na haki anajibu hana nguvu ya kuingilia shughuli za magereza, kisheria Mahakama ndiye yenye amri na dhamana ya mahabusu wote, na hakimu anawajibu wa kutembelea magereza kujua mazingira na hali ya wafungwa
June 16, 2025 at 9:32 AM
Thread

Mahakama leo imeambiwa yafuafutayo kwenye kesi ya Lissu , Hii ni kwa ile Kesi ya Uhaini tu

-- Lissu anaishi na wafungwa wanaosubiria Kunyongwa, analindwa na askari wawili usiku na mchana

-- Lissu ameondolewa haki zote za kuhabu toka amekwenda magereza, wafungwa wengine wote wanaruhusiwa
June 16, 2025 at 9:29 AM
#ChangeTanzania
July 5, 2023 at 10:15 AM