Bongotech255
banner
bongotech255.bsky.social
Bongotech255
@bongotech255.bsky.social
🌨️Soma habari mpya kila siku kuhusu ⚙️Teknolojia kupitia kiganjani mwako kwa lugha ya kiswahili 🇹🇿
si Unajua Teknolojia ni Yetu sote 📁
Feature hii inapatikana kwa watumiaji wote kwani mwanzoni ilikua kwa watu kadhaa.

Fanya update ya Whatsapp yako leo.
November 23, 2024 at 9:11 AM
lakini sasa imekua tofauti kwani ata ukiwa unachati na mtu private utaweza kuona ishara mpya.

Ishara hii inaonyesha huyo mtu unayechati naye sasa anajaribu kuandika kitu kwa kukuonyesha (...) vikicheza cheza.
November 23, 2024 at 9:11 AM
Kwa watumiaji wa android Pakua izi app
▪️ water resistance tester
▪️check water resistant
▪️ water proof test
▪️waterproof quickcheck
▪️ waterproof test and tips

Wale wanangu wa iPhone sasa 😁 msubiri tu 👋
November 21, 2024 at 4:29 PM
Kuna app ambazo ziko soko la play store na app store inakusaidia kuweza kujua simu yako ni kiwango Gani cha maji kitaweza kuhimili ndani ya muda Gani wakati imetumbukia kwenye maji.
November 21, 2024 at 4:29 PM