Bongotech255
banner
bongotech255.bsky.social
Bongotech255
@bongotech255.bsky.social
🌨️Soma habari mpya kila siku kuhusu ⚙️Teknolojia kupitia kiganjani mwako kwa lugha ya kiswahili 🇹🇿
si Unajua Teknolojia ni Yetu sote 📁
Whatsapp wameongeza feature mpya inaitwa typing indicator ya kuweza kujua ikiwa mtu anaandika ujumbe wa kutaka kukutumia.

Mwanzoni ilikua ishara ya kukuonyesha mtu anaandika ujumbe kwenye Whatsapp ilikua inaonekana kwenye group za Whatsapp tu,
November 23, 2024 at 9:11 AM
EBU Tuambie ukubwa wa storage ya simu yako ni ngapi ?

Mimi 128GB😎 Wewe je ?
#simumpya #storage #smartphone
November 22, 2024 at 7:50 AM
Best wallpaper for smartphone
November 21, 2024 at 6:35 PM
Utajuaje kama simu yako ina Teknolojia ya kuzuia Maji

Hivi nitajuaje kama simu yangu ina Teknolojia yenye uwezo wa kuzuia Maji au ni lazima nitumbukize simu kwenye maji ?

Relax 😁 bhana....!!!!🕯️ Soma huu ujumbe 👇
November 21, 2024 at 4:29 PM
Jiunge nasi kwenye channel Yetu ya
Instagram upate update mbalimbali kwa ufupi kuhusu Teknolojia 👋

instagram.com/channel/AbYABh…
November 21, 2024 at 4:09 PM