Jacob Joseph muhizi🇹🇿
chundabad.bsky.social
Jacob Joseph muhizi🇹🇿
@chundabad.bsky.social
Biologist 🧬🧫
iPhone 17 Air:
Inatarajiwa kuwa iPhone 17 Air itakuwa iPhone nyembamba zaidi kuwahi kutokea, ikiwa na unene wa milimita 6.25. Pia itakuwa na bei kama iPhone 16 Plus. Simu hiyo itakuwa na kioo cha inchi 6.6, kamera moja ya nyuma, na modem ya 5G iliyoundwa na Apple. Inatarajiwa kuwa na RAM ya GB 8.
January 3, 2025 at 8:53 PM